Use the form below to create Unicode IPA characters that you can enter into your browser's search field. (Pop-ups must be enabled.)

   Enter a standard character and Right-Click (Macintosh Ctrl + Click) for similar IPA characters.

   Double-click for an interactive IPA chart.

Copy the results of your search, and paste them (Ctrl + V) into your browser's search box (Edit > Find) to search for that symbol.
(You may need to click outside of the form before using Find to locate the sound.)

(The unicode entry tool was developed by the Linguist List. To obtain it for use in other web pages click here)

Entry Speaker Swahili English 
1  1 Habari Ndugu  How are you brother? 
2  2 Nzuri Bwana.  Fine Mister. 
3  1 Kwani unaitwaje?  What's your name? 
4  2 Jina yangu naitwa Mtoro.  My name is Smith. 
5  1 Mtoro, mimi pia naitwa Hanif.  Smith, and my name is George. 
6  2 Habari yako?  How are you? 
7  1 Salaama. Ulitoka Kenya lini?  Fine. When did you leave Kenya? 
8  2 Nilitoka Kenya mwezi jana.  I left Kenya last month. 
9  1 Mwezi jana, nzuri. Mimi pia nish ishi hapa sasa karibu miaka mwili.  Last month, that's good. I have been here for about two years. 
10  2 Miaka miwili, sasa wewe umeshakoa muamericano.  Two years! Now you have become an American. 
11  1 Bado sijakuwa Muamerica. Atanafikiri sitaki-kuwa Muamerica.  Not yet, I haven't become an American and I don't want to be one. 
12  2 Kweli  Is that so 
13  1 Safari yako kutoka Kenya ili kwaje?  How was your trip from Kenya? 
14  2 Safari ilikuwa nzuri. Nilichukua karibu saa ishirini-na-moja kufika hapa.  The trip was fine. It took me twenty-one hours to get here. 
15  1 Ulichukua njia ngani kuja hapa?  What route did you take to get here? 
16  2 Nilichukua ila Kenya Airways mpaka London halafo nikachukua British-Airways mpaka hapa.  I took Kenya-Airways to London and then took British-Airways to here. 
17  1 Safari ilikuwa njema?  Was the journey fine? 
18  2 Ilikuwa nzuri sana.  It was very good. 
19  1 Mimi-pia nilichukua safari kama yako. Kutoka Kenya mpaka ulaya wa kutoka ulaya mpaka hapa America.  I took a similar trip too. From Kenya to England and then from England to America. 
20  2 Lakini unajua kwamba mimi nilipofika huko kwa airport  But do you know that when I arrived at the airport 
21  1 wapi?  where? 
22  2 Hapa airport ya L.A. nika pata wakora wengene bwana waka ni nyanganya dola sitini bwana.  Here at L.A. I met some con-men who tricked sixty dollars out of me. 
23  1 Namna ngani?  How did they do it? 
24  2 Ati hiyo ni feya ya hapa. Kutoka airport mpaka hapa bwana.  They said that the fare from the airport to here is that amount. 
25  1 Wato wa taxi?  Were they taxi drivers? 
26  2 Ndiyo  yes 
27  1 Pangine walijua kwamba wewe si Mwaamerica.  Probably they found out that you were not an American. 
28  2 Niliwambia mimi si Mwaamerica. Nilisema mimi ni mgani. Nilitaka wani lete huko kwa Student Center.  I told them that I was not an American. I told them that I was guest here and I wanted to go to the Student Center. 
29  1 Hapa lazima ujichunge. Kuna wakora wengi sana hapa.  You must take care here since there are a lot of con men around 
30  2 Sikujua. Nilifikiri hawajamaa wanaweza kuwa waminifu.  I did not know that. I thought that these people would be trustworthy. 
31  1 Hapa ni mahali mbaya sana. Mimi-pia siku nilifika hapa. Kwanza nilikaa airport nakuangalia vile vitu viliandelea. Halafu bahati yangu nili pata Mama mzee anafanya kazi kule. Alinisaidia. Alinitafutia taxi driver.  This could be a very bad place. The day I arrived here, I had to sit at the airport and watch what was going on. Luckily I found a woman who worked there who found me a good Taxi driver. 
32  2 Sasa katika hii miaka umesha kuwa hapa unaonate?  Since these years that you have been here, how do you like it here? 
33  1 Vitu zina endelea vizuri, darasa zangu zina endelea vizuri. Na poa tu na maisha. Natafuta kazi. Nikipata kazi takuwa njema. Yani nipate pesa ya-kutumia hivo-na-hivo.  Things are going on good. My classes are going on well and I am just cooling off. I am looking for a job. If I get a job would be fine so that I can get the money to spend here and there. 
34  2 Kweli  Is that so 
35  1 Na darasa zako zina-endeleyaje?  How are your classes going on? 
36  2 Zina endelea vizuri. Isopokua nimeshakua na tabu ya nyumba. Sasa nimepata nyumba na sasa nafikiri nitakaa vizuri nisome.  They are going on just fine. I had a problem of housing but since I have found a place to live, I think I am going to live well. 
37  1 Sasa umepata nyumba, unakaa pekeyako ama unaishi na rafiki?  Now since you have a place to live, do you live alone or do you have a room-mate? 
38  2 Sasa naishi pekeyangu. Hiyo ndiyo mimi nikuwa natafuta.  I live alone. That's what I wanted. 
39  1 Nzuri. Gharama bai-ghali ama nisawa?  That's fine. How's the rent? 
40  2 Huko mahali nilipokua juzi nilikuwa nilikuwa pesa mingi sana. Lakini sasa nimeongeza pesa kidogo na sasa nina nyumba yote kubwa kwangu.  Where I used to live before was expensive but now I pay a little more but I have the whole place for myself. 
41  1 Nyumba ina jikoni na nyumba-ya-kulala?  Does it have a kitchen and a living-room? 
42  2 Ina kila-kito ninataka.  It has everything. 
43  1 Nzuri. Ina viombo ama unataka nununua viombo?  Do you have utensils or are you going to buy them? 
44  2 Nimeshanunua viombo muhimu  I have bought important ones. 
45  1 Una sahani sufira?  You have plates and pots? 
46  2 Hizo ninaye.  Those I have. 
47  1 Viti?  Chairs? 
48  2 Viti viko ndani.  Chairs too. 
49  1 Na kitanda pia?  Bed too? 
50  2 Hata kitanda iko.  Even a bed. 
51  1 Basi sasa umesha poa kidogo naona.  Now I see that you can relax. 
52  2 Nimesha poa sana. Nafikiri sasa ninaona kama nimesha anza kuishi.  I have relaxed. I see that I have started to live now. 
53  1 Usha-anza kufahamu Los Angeles? Usha-anza kutembea hapa na pale?  Are you getting familiar with L.A.? Have you started visiting the different places here and there? 
54  2 Matambezi ndiyo sijafanya sana. Kwamana ilikuwa nafikiri kutembea lazima uwe kama ushkaa vizuri.  I have started traveling. I think that one has to live well before one can go about visiting places. 
55  1 Ndiyo, lazima kama usha kaa vizuri, sasa mafikiro zingene zita potea uki-kaa vizuri.  Yes, one must live well in order to get rid of the different problems. 
56  2 Nafikiri vile, sasa ndiyo nataka kuanza matembezi vizuri.  Yes, I think so, it's now that I want to go about visiting places. 
57  1 ushaanza kupata rafiki nzuri?  Have you made a lot of friends? 
58  2 Ndiyo. Nafikiri atauko kwako nitafika.  I think that I will visit you soon. 
59  1 Lazima sasa nikueleze mahali nina ishi.  I must show you where I live. 
60  2 Nijetukule kuku.  So that we can eat chicken. 
61  1 Ndiyo, lazima. Atamahali nakaa ni karibu na beach. Lazima saa ngina tutembea kule.  Yes, I live close to the beach. We could go for a walk there. 
62  2 Ndiyo, tutembea kwa beach. Huko beach iko namna ngani? Wewe ushatembea kule?  Yes, we could walk at the beach. How is it at the beach? Do you go there often? 
63  1 Karibu na kwangu, kwanza jumamosi na juma-pili ukienda kula, kuna watu wengi sana.  It's close to where I live. Haven't you been there? [Not yet] You must come to my place over the weekend, since there are many people there. 
64  2 Kweli!  Is that true 
65  1 wengi, wengi sana.  Yes, there are lots of people. 
66  2 Nafikiri nitakutembelea.  I think that I will visit you. 
67  1 Shouri iki-fika jumamosi ama ama jumapili nzuri. Shouri watu wengi hawaendi kazini. Watu wanaenda beach kupoa.  Since a lot of people don't go to work during the weekends, people go to the beach to relax. 
68  2 Naona watu hapa hawaendi kazini jumamosi.  I see here that people don't go to work on Saturdays. 
69  1 Watu wengi hawafanyi kazi shouri lazima watu pia wa pumzike. Ukifanya kazi kutoka Jumatatu paka Ijuma, unachoka. Hata mimi inkienda shule paka Ijuma Ninachoka.  A lot of people don't work and they try to relax. If you work from Monday to Friday you get tired. Even I get tired going to school from Monday to Friday. 
70  2 Hawa jamaa washa pona bwana. Kwamana hulo myumbani unafanya kazi kila siku.  People here are lucky because at home one has to work every day. 
71  1 Sasa hata una-starehe kidogo.  So now you too can relax. 
72  2 Na jaribu, jaribu tu.  I am trying to. 
73  1 Na hali zaidi ya Kenya?  Any more news from Kenya? 
74  2 Kenya  Kenya! 
75  1 Ilikuwa hivo, hivo tu.  Must have been alright. 
76  2 Nafikiri kila kitu kinaendelea viema. Isopokua tabu kidogo, kidogo. Lakini hiyo iko kila-mahali.  I think everything is going on well. Except for the few problems here and there. But that's found everywhere. 
77  1 Tabu ya hapa na plae iko kila-mahali  Problems of here and there are everywhere. 
78  2 ndiyo  yes 
79  1 Sasa mimi nisha ishi hapa miaka miwili. Ninataka kujaribu kwenda Kenya nyumbani mwaka ngene.  Since I have been here for over two years, I want to go to Kenya next year. 
80  2 Uta maliza coursi yako lini?  When will you finish your course? 
81  1 Coursi yangu bado ita chukua miaka moja-na-nusu ngine.  My course will take another year and a half. 
82  2 Ulisema kwamba unasoma hesabu?  You said that tou are studying mathematics. 
83  1 Ninasoma hesabu na computer.  I am studying mathematics and computers. 
84  2 Unasoma computer, siku ile utafika nyumbani utapata kazi.  You are studying computers. The day you go home you will find a job easily. 
85  1 Hata mimi naomba mungu nipate kazi niki fika nyumbani.  Even I am praying that I get a job when I go home. 
86  2 Tuna watu wachache nyumbani wanasoma computer.  There are a few people at home studying computers. 
87  1 Pangine hamuna computer wengi kule.  Probably there are a few computers. 
88  2 Lakani siku-izi kuna wengi. Nina fikiri ukifika kule utapata kila kitu iko.  These days there are many. By the time you get there, you will find everything. 
89  1 Pia naona saa hapa. Una fikiri kama ishapita dakika kumi.  I can see the time here. Do you think that ten minutes are over? 
90  2 Lakini hawa jamaa wana taka nini?  But what do these people want? 
91  1 Hawa watu wana-taka kujua vile luga inaendelea. Vile watu wanazungumza. Unafikiri dakika kumi ishapita?  They want to know how the language goes on. The way people talk. Do you think ten minutes are over? 
92  2 Nina fikiri ni karibu.  I think it's close. (to ten minutes) 
93  1 Niki maliza hapa ninataka kusoma nina imtihani jumatatu.  When I am over with this, I want to go and study. I have an exam on Monday. 
94  2 Ata mimi nimewacha kilasi bwana.  Even I have left my class. 
95  1 Nafikiri saa imeshaisha.  I think that the time is over. 
96  2 Anasema vile?  Does he say so? 
97  1 Ndiyo.  yes. 
98  2 Hiyo mzuri bwana. Haya kwa heri.  That's fine. Good bye. 
99  1 Kwa heri.  Goodbye. 
100  2 Asante  Thank you. 
101  1 Asante  Thank you.